SOMO LA KUMI UTAKASO (SANCTIFICATION).


I.             1Thess 5;23

 

             ''Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa..

 

Mara tunapoamini kwa nguvu ya Roho katika Bwana Yesu Kristo,Hivyo ni kwamba Roho yake hufanya kazi na roho zetu,kazi hii ya kutuhifadhi katika imani na kufanya kazi kati yetu kutulea na kufanya kwa ajili ya ridhaa yake nzuri huitwa utakasa. Neno takasa kimsingi humaanisha ''kutenga''neno takatifu inatokana naneno utakaso.Kutengwa kunamaanisha kuwa kuhifadhi kama Kristo katika ulimwengu huu mwovu.kuwa katika uimwengu lakini si mali ya ulimwengu.

 

Hakuna swali kwamba tunapaswa kufanya kufanya matendo mema.Hatuokolewi kwa matendo mema.(Efeso 2; 8-9) Tumeokolewa hivyo tutembee kama Kristo alivyotembea,kufanya kama aivyofanya.''Maana tu kazi yake ,tuliumbwa katka Kristo yesu,tutende matendo mema ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. (Efeso 2:10).katka upendo wa Kristo tunatafuta kufuata mfano wake,ambayo ni njia ya mkristo.

 

Miili yetu ya dhambi haitaki kufanya mapenzi yake.kila wakati hushindana nasi kumsikiliza shetani na ulimwengu huu soma Warumi saba kuona haya mashindano kati yetu au urahisi angalia maisha ya leo mwenyewe.tuna paswa kulisoma neno la Mungu na kujiuliza kwa ajili ya nguvu ya injili na kumfuata Kristo.Natunatakiwa kulisoma na kujifunza neno ili tuweze kujua kile kinachompendeza Mungu na jinsi tupasavyo kutembea katika matendo mengi.

 

Hebu na tuhusike na mfano mmoja katika karatasi hii.Kuoa wake wengi-Ni dhambi?au kama aina nyingne ya ndoa?

Ndoa imeelezwa katika maandiko.Katika nadharia yeyote japo kuoa wake wengi ni dhambi au hapana ,neno la Mungu lazima litoe shauri.Ni andiko kwamba kumbukumbu katika taasisi ya ndoa wakati Mungu alimpa Eva kwa Adamu.Ni andiko linaelezwa jinsi ndoa ingepaswa kuwa. Na ni andiko kwamba linaeleza jinsi gani dhambi ilivyo katika ukiukaji wa ndoa .ni Bwana wa uimwengu ambaye anatuambia kile kilicho sahihi na kile kilicho si sahihi kupitia neno Lake safi.Hebu na tumsikilize kwa sababu anajua kile kilicho chema kwa ajilii yetu na kwa upendo hutuambia katika neno lake kile kilicho mapenzi yake kwa ajili ya maisha yetu.

 

Ndoa si kama desturi ya binadamu uliofika kwa wanadamu.Nii taasisi iliyoamuriwa na Mungu.Ni Mungu ambaye alikuwa katika Eden akisimamsha ndoa na uhusiano kati ya mwanaume na mwanamke wakati alipompa Eva kwa Adam.katika siku sita ya umbaji ,Mungu alimuumba Eva kutoka kwa ubavu wa Adamu.Alimfanya Eva kwa Adamu kuwa msaidizi wake.Mungu alisema katika kuanzisha ndoa ''mwanamume atamwacha baba na mama yake na kuambatana na mke wake na wamekuwa mwili mmoja.(Mwanzo 2:24)kwa kauli hii Mungu anatangaza kwamba mtu mmoja na mwanamke mmoja wanaunganika pamoja kuanzisha ndoa.kwa mwanaume kuambatana na mke wake ni zaidi kibinafsi na umoja wa karibu kwa watu wawili.Hili limeidhinishwa na Mungu hivyo akasema kwamba ''wamekuwa mwili mmoja'' Ni kuyapanua maandiko kusema kwamba mwanamke mwingine anaweza kufaa katika uhusiano huu wa mume mmoja na mwanamke mmoja.Tutaangalia kwa kuongeza nguvu kwa vifungu vingine pia. Bwana wetu alinukuu Mwanzo aliponzungumza katika Eden.kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba na mama yake na kuungana na mke wake na hawa wawili watakuwa mmoja.Hivyo si wawiilii tena bali ni mmoja.Hivyo Mungu aliunga nini pamoja na mtu yeyote asiwatenganishe'' (Mathayo 19:5-6) Bwana wetu wetu alieeza uhusiana kama wawili wamekuwa mmoja.Kuleta tatu katika binafsi uhusiano wa karibu huvunja uhusiano wa mmoja na mmoja .Inawezekana kuvunjwa kwa sababu za bimkubwa,kahaba au wake wengine.Kama kuna hofu katika fahamu za mmoja kwamba ndoa ni moja jumlisha moja ni moja, Hivyo tafuta maoni zaidi katika andiko.katika wakorontho wa kwanza sura ya saba Paul anaeeza tatizo la kindoa na mwisho na mwisho mkueleza ndoa ikoje. ''Lakini kwasababu ya zinaa kila mwananke na awe na mume wake mwenyewe,na kila mwanamke na awe na mke wake mwenyewe.Mume na ampe mkewe halaliyake,na vivyo hivyo mke na ampe mwanaume haki yake.Mke hana amri juu ya mwili wake,bali mumewe,hivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake bali mkewe''(1 Wakoritho 7:2-4)Hapa Pauo anaeleza kwamba ''mwili wake''Rejea hizi zinafuata aina yeyote ya kushirikiana na mke au mume na wengine.Na hilo kila sheria juu ya mwili wa mwingine ina junuisha kwamba hakuna ushirika.Nii kugeuza andiko kwa kufikiri kwamba wanawake wawili au zaidi wanaweza kutawala mwili wa mwanaume mmoja.Jinsi gani wake wa mwanaume kila mmoja kuwa mme wake mwenyewe? Andiko ni wazi.Mchanganyiko ni kwa mwanadamu ambaye anataka hayo kwa ubinafsi wake mwenyewe.

 

Pauo aliwaandikia Wathessalonike kuhusu jambo hili hili la ndoa.Maana haya ndio mapenzi ya Mungu,Kutakaswa kwenu muepukane na uwasherati.Kila mmoja wenu ajuwe kuweza mwili katika utakatifu na heshima.si katika hali ya tamaa mbaya kama mataifa wasiyomjua Mungu.(1 Wathessalonike 4:3-5)Mke yeye mwenyewe katika utakatifu na heshima,wazi hili linaonyesha jinsi mwanamume anavyopaswa kuwa vifungu hivi na vingine katka agano jipya vinatuelekeza jinsi ya kuishi katka siku hizi za mwisho hadi Bwana arudipo tena. Kama tukienenda katika neno lake tumekuwa wanafunzi wakena tutaijua kweli na kweli hiyo itatuweka huru.kama kwa uoande mwingne tuchaguwe kubadilisha maandiko,itakuwa ni maangamivu yetu wenyewe.(Yohana8:31-32)

 

Kueeza sawasawa na Biblia isemavyo kuooa wake wengi ni dhambi.Mpango au mapenzi ya Mungu ni kwamba mwanamume mmoja kuwa na mwanamke mmoja kama mke wake.

 

TUNAPINGA REJEA ZA AGANO LA KALE KUHUSU NDOA ZA WAKE WENGI KATIKA KIHISTORIA KUPUUZA KUOA WAKE WENGI SIKU HIZI

 

Imesemwa na baadhi kuwa kwasababu Daudi au Sulemani alioa wake wengi naweza kuruhusiwa leo katika katika kanisa,kwanza ya vyote hebu na tukumbuke kama tuivyoona kwamba Mungu amefafanua kwa wazi kuhusu ndoa kwetu katika vifungu vya agano jipya.sababu yeyote ya ndoa ya wake wengi katika agano la kale taarifa zilichukua sehemu ya simulizi za kihistoria ya Biblia.Kuna matukio mbalimbali na vitendo vimerekodiwa katika sehemu ya kihistoria ambayo hatupaswi kujifanya kutooana ingawa Mungu aliyahifadhi.Hajatuambia tuenende hivyo na kuyafanya.Sehemu yasimulizi ya kihistoria haiitumiki kiulimwengu kama mfano kwetu juu ya kufanya yaliyo ya kweli.Mara nyingi hiyo ni mifano ya jinsi uovu ulivyo fanyika kwa sababu tu Mungu hakuingilia simulizi na kusema''huu ni uovu''Tusiogope kutumia vifungu sawasawa vya maandiko ambavyo hutuambia jinsi ya kuishi na kutafisiri sehemu ya kihistoria.Kwa mfano tunaweza kuwa kwasababu Joel alivuta pini za hema kupitia hekalu ya kutotarajia sera( Waamuzi 4:17-22)Hivyo hatupaswi.Amri ya tano hutuambia ''usiue''Kifungu vya Biblia hutuambia tusidanganye wa kusema uongo.tusidanganye(Wakolosai 3:9) Au tufanye kiapo kwa kitu kisicho julikana na kubeba kama jafet alivyo fanya katiika kijifunga juu ya binti yake?(Waamuzi 11:30-40)Hilo hapana yesu hutuambia na ndiyo yetu iwe ndiyo na hapana yetu iwe hapana.Au fikiri juu ya Abraham alipomdanganyanya mfalme wa misri na kwa mfalme wa gerari akasema kwamba sara aikuwa dada yake

(Mwanzo 12 na 40) namaanisha kwamba tunaweza kudanganya?Mungu haruhusu mwingilio wa masimulizi na kusema kitu fulani ni mbaya.lakini alisema wazi mahali Fulani ni mbaya. Fulani katika neno katika Mwanzo 38 Yuda anatambua kwamba Tamari ni mwenye haki kuliko yeye,sio kwasababu amefanya uzinzi nae lakini ni kwasababu alisema''kwa sababu si kufanya yeye mwanangu shetani''

(mwanzo 38:26)Nani kati yetu asingeweza kusema ingawa kwamba Yuda alifanya dhambi katika kuingia kwake kufikiri kwamba aikuwa ni kahaba.

 

Katika kuhusika kwa zote hizi za tabia,mazingira,hatuwezi kusema kwa sababu Daudi au Sulemani walioa wake wengi kwamba leo labda iliruhuswa.Ni dhambi na kwa wazi zilielezewa kupiitia vifungu vya neno kwamba unafafanua ndoa.kama tungejifunza kutoka kwa sehemu ya simulizi ya kihistoria ambapo kuoa wake wengi pametajwa Jifunze kwamba matatizo yaliletwa juu ya watu kwa sababu ya kuoa wake wengi.Jifunze jinsi kwamba ndoa ya wake wengi zilivyo rekodiwa kwa Lameki ambaye alijisifu wake zake na jinsi alivyokuwa mwovu.(mwanzo 5:23-24)

 

KIFANYIKE NIN LEO KWA SUALA LLA KUOA WAKE WENGI?

 

   Kama mtu ambaye ni wa namna hiyo akitaka kujiunga na kanisa ni lazima ashikilie ndoa kama ilivyoelezwa kwenye Biblia.Kuwa mshirika wa kanisa letu kibinafsi lazima kushikilia ukwei wa neno la Mungu na kutafuta kuwa maisha yake yanapatana na neno na mapenzi ya Mungu.

Hitakuwa rahisi kujinasua mwenyewe kutoka katka mtandao wa kishetani wa kuoa wanawake wengi.lakini hili lazima liwe lengo.katika mambo mengi ni lazima turuhusu kwamba mke wa kwanza ni wandoa amebeba heshima ya mke.Kwasababu tu anawatoto wanawake wengine hii haimanishi kuwa anaweza kuendelea uhusiano ambao Biblia haijaruhusu kama ndoa.Anapaswa kubeba nje ya majukumu kwa wanawake wengine ambao amewachukua kama wake.Jinsi gani alivyo mwenyekuoa wake wengi,lakini ukaribu wa ndoa lazima ukome kwa wote lakini mke mmoja.

Ingawa atatafuta mume mzuri mkristo kwa mke wake mwingine.labda kwa muda atapanga kuitenganisha nyumba kwa mke mwingine na watoto. Lakini kwa sababu yeyote kabla amekuwa ameruhusiwa katika ushirika,nilazima ashikilie ndoa yake nyumbani kama Mungu alivyoamuru.na tukio lake kwa wote kutangulia kuangalia kama wake zake na watoto wake kwa wanawake hao lazima lifanyike kwa upendo.Wito huu ni kwa usawa mzuri wa utakaso Neno ni uhai wa uzima kama hufanya mapenzi ya Mungu.Anapaswa kutiwa moyo kuja na kulisikia neno,Mchungaji lazima amtembelee mara kwa mara kumsaidia kwa vifungu vinavyo faa.Kama kati ya kusanyiko mwanamume akimchukua mke wake mwingine,lazima ahusike kulingana na kile Bwana alichosema katika Mathayo 18.Hii ni lazima ichukuiwe katika utii kwa neon la Mungu kuishikiia kwa usafi au uadilifu wa kanisa na kwa uopendo kwa mwenye dhambi.

 

Hitimisho.

 

     Biblia ni wazi.Ndoa imefafanuliwa kama mke mmoja na mme mmoja.wanashiriki kwa uhusiano wa karibu ambao hauwezi kiuhalali kushiriki na yeyote mwingine.andiko halijasema tufanye kama Daudi au Sulemani alivyofanya kuchukua wanawake wengi.Lakini husema kuwa na mume wako mwenyewe na mke wako mwenyewe.Kuwa sehemu la kusanyiko la Kristo humaanisha kushikilia ukweli wa neno na kutafuta kuwa na maisha yanayolielekea nene.

 

Mungu aweze kutulinda na mashambulio ya sumu kutoka na ndani.Aweze kututakasa katika kweli yake.