Somo la nne. UATHIRI WA MUDA WETU? UWAKILI KATIKA NENO.(Victim of our Times or Stalwart in the Faith)
Kila mahali tunaweza kuona mandhari safi ya majengo ya kanisa. Katika kuta zote ingawa neno la Mungu limeteseka. Siyo imara, hakika na msingi tu wa fundisho na utendaji kati ya wengi ambao wanaweza kuwa na mandhari ya majengo. Kwa kupitia kwa muda shetani amewashawishi wengi na madhehebu mengi kwa kutelekeza neno sehemu hadi sehemu na kukubali mawazo ya watu.
Nidhamu imetelekezwa kama sio kuchangia kwa kile makanisa yanahitaji. Nidhamu ya kweli kwa upeo mpana ni kufundisha, kuonya, kurekebisha na kufunza katika haki. Katika upeo mdogo ni kurekebisha. Upeo huu mdogo umekuwa umetelekezwa. Mojawapo ya kitu kinachosaidia makanisa ya Marekani katika muungano mkubwa wa kilutheri wali kuwa na nembo “kutenda dhambi ingeweza kuchukua ushirika ukweli kuhusu ubinafsi kama huu, ungeweza kuwatunza kutoka katika ushirika, isipokuwa walete hokum juu yao wenyewe (Ikor 11:27-30) isiyozuilika wakati mmoja kutoangalia neno katika kuhusika na watu ni kutokupapenda wala sio kupenda.
Tuna mandhari ya mazoezi ya Mkristo ambaye ameanguka katika kutotumika katika makanisa mengi, na kutotumika ni kutopenda. Ni “kujitetea kwa wazi,” ambayo inamaanisha wazi (zaidi au kidogo hutegemea mazingira) kukiri dhambi ya wazi na toba ya kweli inaendana na msamaha uliotangazwa kama kutoka kwa mungu na msamaha uliotangazwa kutoka kwa wandugu.
Majivuno ni sumu inayopinga zoezi hili. Tabia iliyoenea ya “fanya mambo yako mwenyewe” na usijaribu kufuatilia jambo la mtu yeyote, haya yote ni mstari juu ya dhihaka ya wazi kuomba radhi ingawa ni majivuno hutangulia maanga wa mnyenyekevu na toba ya mwenye dhambi itapiga goti kwa maelekezo ya maandiko katika kuomba msamaha kwa wazi. Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake. (I Petro 5:6) “Hakika yake huwadharau wenye dharau, bali huwapa wanyenyekevu neema (Mithali 3:34).
KUKIRI
Ilianzishwa vizuri katika Ukristo kwamba tunapaswa kukiri dhambi zetu kwa Mungu. Pia, kukiri dhambi zetu sisi kwa sisi. Hivyo ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa” (Yakobo 5:16) ukweli, kukiri ni mzuri kwa roho, kwa afya yako ya Kiroho. Inatupasa kuungana nalo kwa Mungu juu ya yote kama tumefanya dhambi juu ya ndugu katika imani, inatupasa kukiri hilo na kutafuta msamaha wake. Sehemu ya udhaifu haipaswi kuishikilia kwa ujinga wa “upendo kamwe hauna la kusema una msamaha, mbali na hili, upendo wenyewe unashughulikia na tabia ya moyo inayoeleza kaika maneno ya huzuni juu ya dhambi. Sehemu iliyoumizwa katika mzunguko inapaswa toba ya mdhambi kujua kwamba amesamehewa na Mungu na ndugu aliyemkosea. Tunasamehe kama tunawingi wa masamaha.
Upendo wetu kwa ndugu ambaye ametenda dhambi juu yeu lazima tuvutwe na kwenda na kumwambia kosa lake “kwanza kibinafsi na kufuatia utaratibu Bwana wetu alioweka kwa ajili yetu, inategemea mwitikio wa mtenda dhambi, katika Mathayo sura ya 18 mstari wa 15 hadi 20. Tambua kwamba huwa wazi zaidi kadri utaratibu unapofuatwa. Matatizo madogo na sehemu ndogo ya andiko baada ya msemo wa kidunia, hupaswi kuwa umehukumiwa.
Hasa kiri nyingi zimeandikwa katika agano jipya zilifanyika Efeso. “na wengi wa wale walioamini ni wakaja wakaungana wakidhihirisha matendo yao. Na watu wengi katika wale waliotumia mambo ya uganga wakakusanya vitabu vyao wakavichoma moto mbele ya watu wote, wakafanya hesabu ya thamani yake, wakaona ya kwamba yapata fedha hamsini elfu. Hivyo ndivyo neno la Bwana lilivyozidi na kushinda kwa nguvu. (Mdo 19:18-20).
Hebu tambua ukweli wa namna gani wa wazi ulivyokuwa? Afya iliyoje kwa mmoja na kwa Kanisa! Inagharimu kiasi gani ya kitabu cha mfukoni na kiburi cha zamani ! kimefanywa “katika mtazamo wa wote, anguko linalowaka kwa vitabu vilivyofichwa. Hili ni lastahili kwa sababu lilikuwa la hakika umejulikana kati ya watu kama kwa yeyote wanaofanya viini macho (mazingaombwe). Hili lilionyesha kulikuwa pumziko safi kwa njia ovu za zamani. Hawa walikuwa wakristo ambao walitambua kwamba uganga ulikuwa kinyume na Kristo. Ukiri wa wazi ulifuatana na kutambua.
UMOJA
Tunapaswa kujitahidi kuhifadhi umoja waroho katika kifungo cha amani. Mwili mmoja na roho mmoja kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu. Bwana mmoja imani moja, ubatizo mmoja. Mungu mmoja naye ni Baba wa wote ……… (feso 4:3-6). Liliandikwa la kupendeza kwa Waefeso ambapo palikuwa na ukiri wa wazi katika vitabu vya kiganga. Sisi hatupo katika visiwa vyetu wenyewe. Sisi ni sehemu ya mwili wa kristo kanisa lake. Kama vile tunaadhiri kila mmoja wetu, haujaandikwa juu ya kitu cha karatasi, lakini katika moyo wa akili na kitu cha neno. Kama ndugu mmoja akitenda dhambi na kuanguka katika mtego wa shetani katika dhambi ya wazi, kwamba anaifanya mfululizo katika injili juu ya yote tunapaswa kumkemea.
Kama hatatubu sisi kwa wazi katika kusanyiko tumtambue kuwa yupo nje ya ushirika, kama mtaifa na mtoza ushuru” huyu ni mtenda dhambi anayekaribia Jehanam kama akitubu, halikadhalika tutambue toba yake mbele ya kusanyiko na kusifu Mungu wetu. Tunamhakikishia kwamba ana msamaha wa Mungu na wetu pia. Toba ya wazi ni rahisi kwa mtenda dhambi kukataa dhambi ya wazi, amasema anazijutia dhambi mbele ya Mungu na mbele ya wandugu na Bwana uhakika wa msamaha. Kwa wote wanaoendelea katika dhambi, wakemee mbele ya wote, hivyo wengine wasimame katika hofu (I Tim 5:20) ni muhimu kutambua kwa wazi wakati mmoja ametubu. Na majonzi ya furaha hutangazwa yalivyo.
MADHUMUNI
Msamaha ni wa kwanza na dhumuni la mbele juu ya ukiri wa wazi. Sheria kuu imekuwa ya wazi kama dhambi inapaswa kutubiwa. Mtu anayetubu amhakikishe binafsi kwamba Bwana husamehe. Sisi ni wanachama mmoja kwa mwingine na hivyo itapaswa kuwa wazi pia kati ya wandugu anapaswa kuwa amesamehewa na kusanyika kwa sababu ametenda dhambi kuuyake pia kwa kufanya kinyume na neno la Mungu la pili hatutakiwi kuficha kitu cha furaha kama toba na husababisha baadhi ya mazungumzo ambayo wanayofikiri ni chanzo. Wote tunajua jinsi tulivyo hivyo hiari kuzungumza ovu mmoja na mwingine ukiri wa wazi huondoa zulia la shetani la tatu, ukiri wa wazi huinua yeyote na wote wanaweza kusikia msimamo wa neno na ushuhuda wa kusanyiko .Kuna wanafiki wengi wanaotuzunguka wakati wanapolifanya hilo wanalifunika ukiri wa wazi kamwe haufuniki kitu. Hatubaki eneo na Bwana hudhihakiwa.
MAZOEZI
Ni wazi kama dhambi ilivyo hivyo inapaswa kukiriwa na msamaha, dhahiri kama Mchungaji tu na Mshirika mmoja analijua hilo, hatupaswi kufanya ukiri wa wazi. Hukumu ya kibinadamu inaweza kufanya makosa. Kama mtu amekuwa mlevi wazi na alikamatwa hilo ni wazi na inapswa kufuatiliwa na toba ya wazi kama mwanamke ni mjamzito nje ya kifungo cha ndoa hilo linaonekana na wengi na hupendeza wazi na ukiri wa wazi unahitajika. Kama jambo la wazi inawezekana kuchukua ukabili wa Waefeso unaonekana wazi na kuonyesha toba yao binafsi. Mchungaji anaweza kuongea naye kauli inayopaswa isomwe wazi mmoja anaweza kujitokeza mbele kama mtu wa kusanyiko na hili tuna uhuru.
HITIMISHO
Kutoka katika neno tumekuwa tonaona umuhimu wa toba ya wazi na msamaha ambayo ni ukiri wa wazi. Tunaweza kuita majina mbalimbali kwa jinsi ulimwengu unavyolifanyia mazoezi. Lakini hilo halitusumbui walimwambia Bwana wetu anatenda kazi kwa jina la Beel zebub, mkuu wa mapepo vipi kuhusu sisi ni kwamba tu wa kweli kwa Mungu wetu na neno lake. Kama tunavyotafuta kutenda kile kinachompendeza Mungu hakiwezi kuwapendeza wanadamu lakini tunatenda kazi na injili ya upendo wa Kristo maana ndugu zangu angalieni mwito wenu ya kwamba si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa bali Mungu aliyachagua mambo makubwa ya duniaa awaaibishe wenye hekima tena Mungu alivichagua vitu vidhaifu vya dunia ili ariabishe wenye nguvu tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, maana vitu ambavyo haviko ili avibatilishe vile vilivyoko …… yeye ni chanzo cha maisha yako katika kristo yesu ambaye mungu alimfanya hekima yetu (I kor 1:26:31)