Somo la tisa.KWA NINI USHIRIKA WA KARIBU? (Why Close Communion?)
Katika mikusanyiko yetu ya Kilutheri jitihada yetu ni kila wakati tuwe na ushirika kwamba hatutoi meza ya Bwana tu kila mmoja, msingi thabiti unatokea mara kwa mara, wageni katika ibada zetu hawakufahamu zoezi hili.
NI MUHIMU KWA SABABU NI FUNDISHO LA YESU NA NI KIELELEZO.
Watu wana mitazamo yao tofauti juu ya lililotokea wakati meza ya Bwana iliposherekewa. Baadhi hufikiri kwamba ilimaanisha ukumbusho na haikuwa na cha zaidi. Huwa wanaona katika mkate na mvivyo ni alama tupu za mateso ya Yesu na kifo chake. Ingawa Bwana mara ya kwanza alipowapa mitume wake meza yake, aliwaambia kiunaganaga kwamba walikuwa wanapokea. Na walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akaubariki na akaumega, na kuwapa na kusema kunyweni, huu ni mwili wangu, kasha akachukua kikombe na alipokwisha kushukuru akawapa na wote wakanywa. Na akawaambia, hii ni damu yangu ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya wengi (mk 14:22-24).
Katika ibada zetu za meza ya Bwana tunaamini kwamba tunakula mwili wa kweli wa kristo na damu ndani yake na pamoja na mkate na mvinyo. Mkate hauwezi kubadilika katika umbo lake la asili, ingawa mwili wa Kristo na damu zinawakilishwa haswa kwa njia ya kimiujiza ambayo hatuielewi, kwa kushiriki mwili wa Kristo na damu tunapokea na kuonyeshwa uhakika wa msamaha wa dhambi zetu. Inatia nguvu binafsi. Tangu hapo maana zaidi mkate na mvinyo, hasa tunataka kushiriki sakramenti kulingana na agizo la Mungu na mfano wa Biblia. Ni meza ya Bwana na sisi tunafanya kama apendavyo yeye Bwana.
Kipindi cha maisha yake hapa duniani Yesu alihubiri neno la Mungu kwa kila mmoja wakati alipowaagiza wanafunzi wake, aliwasihi kuhubiri injili kwa kila kiumbe (mk 16:15) na kufundisha wanafunzi wake ulimwenguni kote ….. (Mt 28:19). Lakini wakati alipoanzisha meza ya Bwana, aliwajumuisha wanafunzi wake tu na si kwa watu wote. Katika ibada zetu hatungepaswa kamwe kudhani kujaribu kuhukum kwamba mtu Fulani ni mwanafunzi wa kweli wa Yesu au la, hatuna njia ya kusoma moyo wa mtu yeyote tunalopaswa kuendelea nalo ni watu wanasemaje wanaamini? Tunahisi kwamba ni muhimu sana kujihadhari na kila mshiriki kusema, anaamini meza na kila mshiriki kusema anaamini meza ya Bwana Yesu kristo na hata katika neno lake. Ni kitu cha kuwajibika kufanya katika kushikilia ukweli wa mwili wa kristo na damu na siyo kitu kinachoweza kufanyika katika tukio.
NI MUHIMU KWA SABABU HUTUPASWI KUMHIMIZA YEYEOTE
Ingewezekama chanzo hiki cha baraka, mwili wa kweli wa Kristo na damu, haimdhuru yeyote? Ndiyo. Tunajifunza hili kutoka (I kor 11:27-29). Nje ya uandalizi rahisi na kuhusika tunajisikia mzigo kufanya ambacho huwezi kufanya salama mambo ambayo hushiriki katika meza ya Bwana masherekeo yaliyoandaliwa kikamilifu. Ingewezekana kuwa uhuru wakutowajibika kusema (katika jina la Yesu), “tuna na ule” wakati mtu Fulani hana maelekezo sahihi katika yanayohitajika. Hatustahili kwa uzembe wetu kumsababisha yeyote kuleta hokum juu yake mwenyewe. Na kuna hatari ya kweli kwa hili kutukia, kama mtu akishindwa kupambanua kati ya mwili wa kweli na damu ya kristo na mkate na mvinyo. Meza ya Bwana ni kama nguvu, imani itunzayo dawa katika hilo, inaweza kuwa kama faida sio hofu lakini pia inaweza kuwa na nguvu ya kuumiza kama ikitumiwa vibaya. Kama vile, Bwana amekuwa nasi akitoa maagizo ya kimsingi, sio katika mtindo, juu ya kuhesabu upangaji. Na kuna suala jingine lote kuhusu jinsi wachungaji wanapaswa katika kundi lake. Mwisho wake maalum ni kutoa kile ambacho kinahitajika na kuleta afya. Watu wa ungamo (ukiri) tofauti la ukristo wanaweza kunufaika wenyewe na matunzo ya mchungaji wao katika sakramenti.
NI MUHIMU KWA SABABU KATIKA SAKRAMENTI HUELEZA UMOJA WA KWELI KATIKA IMANI
Swali linaweza kuwa sasa limeulizwa. Kwa nini tusiruhusu sakramenti iandaliwe kwa wote wanaotangaza kuwa Wakristo? Andiko pia hutuonyesha kwamba wote wanaokuja mbele ya Bwana pamoja na wanaotoa kamko kwa kushiriki imani katika sehemu zote za neno Mungu ambalo huwaunganisha. Kwa kuwa mkate ni mmoja sisi tuio wengi tu mwili mmoj, kwa maana sisi sote twapokea sehemu ya ale mkate mmoja (I kor 10:17 mnene mamoja., ). Basi ndugu, nawasihi kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo, kwamba nyote wala pasiwe faraka kwenu bali mhitimu katika nia moja na shauri moja (I kor 1:10). Wakati watu wanapojumuika pamoja wanafanya muunganiko wa tamko la imani. Katika makanisa mengine tamko hili limelemea katika makubaliano kuhusu mafundisho yote ya Bibli. Kabla ya mtu kuweza kusema kwamba hushiriki ushahidi kwa ukweli wa dini, lazima awe na ufahamu wa mafundisho haya ni ufedhuli kusema ni dogo kuliko. Mungu alitupa neno lote lichunguzwe, liwekwe wazi, litangazwe, lifundishwe na kuliamini. Chochote kinachokutoa nje na neno la Mungu kinadhoofisha kama saratani. Hata Paulo hufananisha saratani na mafundisho ya uongo. Wakati mtu anapoambukizwa sarakani, kifo chaweza kutokea baadaye. Kadhalika fundisho la uongo ni sumu inayo uharibu ukweli kama saratani iharibuvyo mwili. Saratani mwanzoni haionyeshi. Hivyo ni sawa na fundisho la uongo. Hutoka hali ya hatari sana mwanzoni.
Kadri uumwavyo ni sawa na fundisho la uongo. Haitokei hali ya hatari sana mwanzoni. Kadri umwavyo ni kama kundi kutoka ndani ya kweli huwa daima mauti zaidi na hatimaye roho kuharibika.
Tunaishi katika nyakati hizi za mwisho ambazo shetani atafanya ubaya wake kupindukia kupora imani yetu, hujaribu kuharibu msingi imara wa imani yetu. Yeye ni adui yetu ambaye hupenda mbegu za kosa ambayo huchipua na kuota mizizi na kutawanya sumu zao. Dawa pekee ya kuzuia sumu hii ni kugawa neno lake na ukweli wake na kutawanya ukweli huu. Tunaendelea kuabudu tu katika makanisa yetu, ambapo twajua ukweli unakuwa umehubiriwa kwa kuinua imani yetu. Tuiunge mkono kazi ya kuhubiri na kufundisha ili watu wengi waweze kuijua ukweli wa kristo na kwekwa huru kutoka katika uwezo wa kushikwa na shetani. (Warumi 15:5-6). Na Mungu mwenye sabuni na faraja wajalie kwa nia moja nini kwa ninyi, kwa mfano wa kristo Yesu. Ili kwa moyo mmoja……………………………………………………………………….