Somo la saba .UNA BWANA MMOJA NAYE NI KRISTO (You Have One Master The Christ)


Katika karatasi hizi tutajaribu kuwaeleza sisi ni kina nani na kwa nini kunatenga kanisa la Kilutheri.

               SISI NI WAKRISTO

Mkristo ni nani haswa? Kitambo kidogo hawajaitwa wakristo, wafuasi wa Yesu Kristo walikuwa wanaitwa Mitume. Yesu aliwaambia nifuateni.

1. Aliwaambia wafuasi, “mna Bwana mmoja naye ni Kristo”



2. Wengi wa watu hawakumfuata, aliwauliza baadhi ya wafuasi wake “hata ninyi mnataka kuondoka?”mmoja wao akajibu, “Bwana tumwendee nani? Una maneno ya uzima”



3. Mkristo kabla ya yote ni mfuasi au mwanafunzi wa mtu, kwa jina, Yesu wa Nazareti. Katika mambo ya dini wafuasi wake hawasikilizi sauti nyingine. Agano jipya pia huwaita wakristo kwa jina “waumini”



4. Yesu mara nyingi alitumia neno hili. Alisema “aaminiye na kubatizwa ataokoka”



5. Na yeyote aaminiye hatapotea bali ana uzima wa milele.



6. Yesu alikuwa sio dhahiri juu ya kile muumini alichoamini. Katika sehemu ya huduma yake watu wengi walishikilia mtazamo tofauti juu yake (kama ilivyo hata leo hii). Aliwauliza wanafunzi wake 12 kumwambia hizi mitazamo, na hivyo aliwauliza wanachokiamini juu yake. Walimjibu, “wewe ni Kristo, mwana wa Mungu aliye hai”.



7. Mkristo anaamini kwamba Yesu ni Mungu. Yesu alikuwa anamaanisha kile ambacho wafuasi wake wangepaswa kukiamini kuhusu kazi zake. Alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea.



8. Maisha yake yote yalielekeza kifo chake kama alivyowambia Nikodemu. “Hivyo lazima mwana wa Adam ainuliwe (asulubiwe) hivyo yeyote amwamininiye awe na uzima wa milele.



9. Kabla ya Yesu kuzaliwa, malaika alimwambia Baba yake wa halali kumpa jina la Yesu, kwa sababu atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao.



10. Mkristo huamini kwamba Yesu alichukua hatia yake na kumwokoa kutoka katika adhabu na dhambi zake. Wafuasi wa kwanza waliamini Yesu alikuwa Bwana wao aliyefufuka na Mungu ambaye alikuwa na mamlaka yote mbinguni na duninani na kwamba alikuwa nao wakati wote, popote wangepaswa kuwa. Pia walimwamini wakati aliposema angerudi tena na kuuleta mwisho wa ulimwengu, ambapo ni kipindi angewahukum watu wote, wanaoamini na wasioamini.

11. Yesu alimhimiza yule mtu kwamba angeweza kuja kwa Mungu kupita Yesu Kristo pekee. Alijiita yeye mwenyewe ni njia kweli na uzima.



12. Kuamini huku na kumfuata yesu humfanya mtu kuwa Mkristo. Yesu alionyesha kwamba wenye dhambi wasingeweza kuwa wafuasi au waumini wao wenyewe. Aliwaita wafuasi wake na kuwapa nguvu za kumfuata na kumwamini yeye. Aliwaahidi kuwatumia Roho mtakatifu ambaye kupitia mafundisho ya wanafunzi wake wangeweza kuwaleta watu kumwamini yesu kwamba ni Mungu na kwa kumkiri yeye kama Mwokozi wao.



13. Roho mtakatifu humfanya Mshirika au Mkristo kwa nguvu ya injili habari njema ya Yesu. Ubatizo ni njia ambayo Roho mtakatifu hubadilisha moyo wa mtu kutoka kwa kutokuamini hadi kuamini.

14. Na hata katika ubatizo nguvu ya uweza ipo katika neno la Mungu



15. Roho mtakatifu, hutumia waamini kwa kuhubiri na kubatiza hivyo basi wengine waweze kuja kuamini na kumfata Yesu. Kabla ya kuondoka huku ulimwenguni Yesu aliweka Roho Mtakatifu juu ya Mitume wake na kuwapa nguvu zake, nguvu ya kusamehe dhambi za watu ulimwenguni kote.



16. Waumini waliokusanyika pamoja wanaitwa Kanisa. Kanisa ni Familia halisi ya Yesu, hasa Yesu aliwaita kuwa ni ndugu na dada zake.



17. Wakati Yesu huleta mtu ili kumfuata, pia huufanya kwa mshirika wa mwili wote wa Mungu pamoja na waamini wote, Wakristo, kusanyiko au Kanisa.



18. Na hili kifupi ndivyo tulivyo Mkristo wa kawaida au wanafunzi wa Yesu: mtu ambaye anaamini chochote ambacho Yesu alicho waambia katika neno lake. Tumekuwa hivyo kupitia kusikia injili na kuwa watu wa Kanisa ambapo kila mmoja wetu kila siku hukua katika ufahamu wa Bwana wetu, hukua katika uuhakika kwamba Yesu ni mwana wa Mungu kupitia masamaha ya dhambi na kama matokeo, kukua na kuongezeka katika uweza wa kutumika na kumpenda Mwokozi.



19. Kila mmoja anabakia mwenye dhambi na ghafla huona vizuri katika nje kuliko asiye Mkristo. Lakini kuna utofauti mkubwa: Muumini hupata msamaha wa dhambi katika Yesu na nguvu mpya kuishi zaidi kama Bwana wake na mwalimu.



20. Yupo tayari na husubiri siku ambayo Mwokozi wake atakapo mchukua katika kifo kutoka katika limwengu huu wa dhambi kwa furaha kamilifu ya maisha na Bwana wake katika ulimwengu ujao.



21. Kupitia kusubiri huku wakristo wana hisia ya kina ya umuhimu katika kuleta habari njema za Bwana wetu kwa watu wengi kadri wawezavyo.


KWANINI KANISA LA SEHEMU

        Tangu waumini au wafuasi wa Yesu walipomwamini na kuwa washirika wa familia moja, pia walipaswa kuwa na kanisa moja. Wakristo wote wanapaswa kufanya kazi na kwa pamoja kuleta habari njema kwa watu wote. Hebu tuangalie kidogo kile kilichtokea miaka 2000 iliyopita tangu wanafunzi wa kwanza kuhubiri ujumbe wao kwa watu katika wakati ule. Kama kanisa lilileta imara yake zaidi na watu zaidi wa upana na upana wa eneo sio tu kuwaambukiza kiyunani na ulimwengu wa kirumi, bali hata kuambukizwa kwa kigunani na Falisafa za Kirumi na madhehebu hili ilikuwa hatua pana. Paul alianza kuonya kwamba hili litaenda kutokea.



22. Kitu kimoja Yesu alichosisitiza ni kwamba katika Kanisa lake hakuna mamlaka ya kibinadamu alikuwa mwalimu na Bwana mmoja. Yesu pekee aliamrisha kile ambacho watu wangepaswa kukiamini na kile ambacho kanisa lake linapaswa kukifundisha. Lakini popole ulimwengu ukaanza kuchukua usukani. Viongozi wakachukua madaraka zaidi na nguvu zaidi wao wenyewe. Mwishowe taasisi ya upapa ukakua.



23. Askofu mkuu au kiongozi mkuu wa Kanisa akajitangaza kuwa yeye ni mwakilishi wa yesu hivyo angeweza kufanya sheria mpya na mafundisho ambayo wafuasi wa yesu lazima wayakubali na kuyafuata. Alifundisha kwa mfano kwamba watu wale wanapaswa kumwomba mariamu msaada.



24. Tunaona kwenye Biblia mkuu kwa makosa haya jinsi neno linavyo fundisha kisahihi. Alifundisha na Jehanamu inayoitwa toharani ambapo roho za waumini huenda baada ya kufa.



25. Hapa zinateseka hadi utakaso uwe umefanywa na kanisa kwa ajili ya dhambi zao ingawa Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zao, walisema kanisa lingeweza kuamuru adhabu.



26. Kwa waamini, kama kazi maalum, maombi maalum nakadhalika sasa kama mtu katika maisha yake hakufanya utakaso wa kuusha kwa matendo yake mema, hii ingeweza kumaliziwa kwa ajili yake baada ya kufa. Lakini lazima akawie toharini. Kifungo change kitakuwa kimekamilishwa kupitia misa zilizosomwa kwa ajili yake. Hii hufanya kazi vipi? Sawa ilifundishwa na Papa kwamba mtakatifu maalum (kama vile yusuf, mariamu, Paulo, na Petro) wanaongoza maisha haya bora ambayo wamefanya zaidi yakutosha matendo mema.



27. Hizi kazi za ziada zilifanya hazina na ziada hii ingeweza kutumiwa kwa waumini ambao hawakuweza kufanya utakaso wa kutisha kwa ajili ya dhambi zao. Misa ziliongozwa na mapadri na kweka sehemu ya ziada kwa sehemu ya rafiki aliyeondoka au ndugu. Njia nyingine ya kupita toharani ilikuwa ni kwa kununua vyeti vya msamaha hiyo ilikuwa kwa kulipa kiasi cha fedha kwa mradi maalum wa kanisa.



28. papa angeweza kuamrisha zawadi Fulani ingeweza kuchukua muda. Hili ni moja ya mfundisho mengi ya uongo yaliyotambulishwa na mapapa na halimashauri ya kanisa lake ambalo aliitisha. Utiifu au uwajibikaji kwa kristo bwana hutegemea kwamba wafuasi wake hawakukubali mafundisho ambayo yesu hakufundisha nay ale ambayo yanapingana na alichokisema.



29. Ingawa watu waliyatunza katika ujinga kwa miaka mingi, wakati watu walipoanza katika karne kati au ya kwanza kusoma na kujifunza biblia watu waliyatoa mafundisho ya upapa na sheria nyingi na mafundisho ya papa ambapo linapingana na kile yesu alichokifundisha martin luther alikuwa mmojawapo wa wanafunzi wa biblia ambaye alisakunwa na dhamira yake kuhubiri kile kristo na mitume wake walichokifundisha. Kanisa la kikatoliki la kirumi halikusikiliza sauti ya ukweli lakini walimshutum luther na mafundisho ya biblia aliyoyafanya. Uwajibikaji wafuasi wake kujitenga kutokana na wote wanaofundisha kinyume na kile mwokozi alichofundisha.



30. Neno la mungu na maisha yake kutoa kuamini ni kitu cha muhimu sana ulimwenguni na hatuwezi kujilazimisha mafundisho ya wanadamu ambayo yamechanganywa na maji masafi ya wokovu. Hii ndiyo maana leo tumetengana na kanisa la kikatoliki: wanatambulisha mafundisho ya uongo na wakati wa matengenezo yaliweka wazi kwa kulaumu mafundisho y akweli na mahubiri ya injili.


KWA NINI KUNA MAKANISA MENGI YA KIPROTESTANI?


Hii ni bahari nyingine ya kusikitisha na kuelekeza tangu shetani alipomjaribu adamu na eva hajaacha kamwe kuwasimamisha watu kugeuka mbali na dini ya kweli ambayo mungu amempatia mwanadamu kupitia yesu kristo. Tangu kipindi cha matengenezo walimu wengi kando (mbali) na kanisa la kirumi. Lakini sasa tawi jingine lililigawa protestanti nyingi kimakundi. Hii pia ilikuwa ni kipindi kipya cha kujifunza katika maeneo yote na kutoa muda kwa jina la elimu mpya, au uamsho mpya katika kujifunza na sanaa. Sababu ya kibinadamu ilikuwa ni kujiinua katika nafasi ya juu. Hili ni zuri kisayansi na kisanaa, lakini ni hatari sana katikadini. Sababu iliyoko hapa labda ni kuwa mtumwa wa mtu na msaada kupitia kujifunza lugha kwa kuchimba kwa undani ukweli wa maneno ya mungu; au sababu inawezakuwa mwanadamu ni bwanana kumwongoza yeye kutoka mbali na ukweli. Kwa mwanadamu aliharibiwa na dhambi na sababu yake anasindana au kupinga njia za mungu. Hivyo basi sababu la zima kila wakati iwe imetunzwa katika neno la mungu.



31. Watu wengine wa matengenezo waliopinga rumi walitoa sababu ya sehemu ya juu sana na kuruhusu hukumu ya kibinadamu kupata tafsiri ya mafundisho ya mungu. Kama neno la mungu lilijichanganya kisababu na akili za kawaida, walimu hawa wangeweza kurekebisha maana ya biblia ili kuifanya ikubaliane zaidi na sababu za kibinadamu. Hili liliongoza wengi kwa mgawanyiko na tofauti tangu sababu ya binadamu ilipotokea kwa tafsiri mbalimbali za biblia. Makanisa wanaweza kutafuta umoja tu wakati wote wanapojiweka katika neno la mungu. Hivyo baadhi hawakuweza kuelewa jinsi mwili na damu ya yesu ingeweza kuwakilisha hasa katika meza ya bwana.



32. Waliunda madhehebu ambayo yalifundisha kwamba mkate na mvinyo vinawakilisha mwili na damu. Baadhi walihoji kwamba watoto wachanga hawawezi kuamini na walianzisha kanisa ambalo hawangebatiza watoto wachanga.



33. Hili limechanganywa sababu na andiko limeendelea miaka na miaka likianzishwa madhehebu. Sasa tuna mamia na mamia ya madhehebu na vikundi. Sababu ya kibinadamu wakati wote hishinikiza maisha haya zaidi kuliko masiha yaleyajayo. Baadhi husisitiza juu ya tabia fulaniya nje kama vile usivute sigara au watashinikiza utajiri wa kidunia na kujifunga na kazi za kijamii na matendo ya kisheria kuondoa umaskini na ubaguzi, wakijaribu kuifanya hii dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi. Katika miaka ya mwisho miamoja au hivyo hili sababu hii ya kuchanganya na andiko limeongoza walimu wengi wa kiprotestant kukana kile kitabu kilichoandikwa na wanadamu kungeweza kuwa katika wakati sawa na neno la mungu.



34. Wamekataa mafundisho mengi ya yesu kristo kutoka katika uumbaji wa ulimwengu hadi ufufuo wa yesu kutoka kwa wafu kama wafuasi wa yesu tulazimishe kikataa kanuni ya “andiko na sababu” kama mamlaka kwa mafunzo kila hatua sambamba na kununua ya “andiko na papa” yesu anatuliza tuwe waaminifu kwake na kulinena neno lake. Utiifu na uaminifu hufanyakuwezekana kwetu kwa kuyahakiki makanisa ambayo hukana yote au sehemu yeyote ya mafundisho ya yesu. Kuna mambo mengi kwa neno la kweli ambalo hutoa wokovu. Hatuwezi kujinyenyekeza kwa papa au kwa sababu ya kibinadam kama mwalimu au kiongozi wetu wa njia ya mbinguni.


Hivyo tunaitwa walutherani sio kwa sababu tunafuata tafsiri zozote ya martin luther lakini kwa sababu alisisitiza juu ya kujitiisha kwa neno la mungu ingawa kwamba neno lile linakubaliana na sababu ya kibinadamu au la.


KWA NINI MAKANISA MENGI YA KILUTHER?

Katholiki na Protestanti waligawanyika. Lutherani iligawanyika kutoka protestanti nyingine walutheri wamejigawa kati yao wenyewe. Wakiwa na jina la lutherani halizui kikotoka kumshambulia shetani. Mafundisho ya uongo tena na tena hujongea ndani ya makanisa na kufanya kazi ya maangamizo. Pande baada ya kifo cha luther walutheri wengi mafundisho yao yalianza kubadili injili ya kweli ambayo iliyokuwa imetangazwa ulimwnguni.


Kanisani nyingine mpya iliyokuwa katika utendaji miaka 100 iliyopita. Kama sababu ya kugawanya makanisa katika madhehebu mengi, hivyo sasa mwanadamu anajaribu kuyarudisha pamoja tena. Hili halingefanyika kwa kuwambia makanisa yote kujinyenyekeza katika neno, lakini lingefanyika kwenye msingi thabiti wa sababu. Viongozi wengi katika mabadiliko haya wa kujiunga na makanisa hawahusiki hata na biblia kuwa neno la mungu. Sababu/ akili huwaambia kwamba makanisa yote yana baadhi ya ukweli na baadhi ya makosa na hivyo yote huja pamoja kujadili kuafikiriana katika mafundisho kuafikiana katika kuamini kwao kibinafsi kwa ajili ya muunganiko wa kanisa. Hili limeongoza kwa ukosefu wa jumla juu ya kuhusika kwa fundisho la aina yeyote, liwe zuri au baya. Fundisho hili linatambulikana kama muunganiko (unionism) hilo ni kundi linalikubaliana na mwingine na kuungana katika kazi za kanisa na kuabudu bila makubaliano katika mafundisho.



35. Mwaka 1830 mfalme wa Prussion alijaribu hili kwa kuongeza sheria, aliunganisha Protestanti makanisa yake na makanisa ya lutherani katika utawala wake. Hili liliongoza baadhi ya walutherani kuhamiamarekani kuwa na haki ya kuhubiri injili kulingana na maandiko matakatifu. Makanisa mengi ya kilutherani yamevutwa na mwendo wa muunganiko baadhi wamekuwa makini sana katika kujiunga na mafundisho ya uongo au makanisa yenye kufundisha mafundisho ya uongo katika kazi na ushirikiano. Kama matokeo wamekuwa wakivumilia sana makosa katika kufundisha kati au ndani ya madhehebu yao. Mafundisho ya uongo hayachukuliwi kama jambo la uzito. Kikundi kimoja cha lutherani katika marekani kwa miaka 100 kilifanyika kazi kwa nguvu za ukiri wa fundisho la kilutheri, waligandazwa kuridhiana na aina yoyote ya kitu kihusucho dini ya kweli. Hawakuweza kuvumilia aina yoyote ya mafundisho ya uongo katika shule zao au makanisani. Walihimiza kanisa kuwa lina neno moja kutangaza neno la yesu. Walijua kuwa kosa linaweza kuathiri mtu yeyote na kila mmoja.



36. Ingawa walihusika nalo hasa kinyume na yesu kama tofauti za mafundisho yangeumizakatika kanisa lake. Wakati tofauti zikijitokeza, tunafungua na bwana wetu kutatua tatizo kwa kutafuta neno lake.



37. Kukubali au kutokubali hukaa kuna yesu ni mwanzilishi pekee wa imani yesu kama tulivyosema, kwa miaka 100 mwili huu ulikataa shambilio la ghafla la kisasa na maandiko. Lakini tangu 1935 kanisa kubwa katika kikundi hicho, sinodi ya Missouri, imekuwa ikienea zaidi kuwa karimu na kuvumilia sehemu kufanya kazi pamoja na kuvumilia sehemu kufanya kazi pamoja na makanisa ya kilutheri ambayo wakati wote yamekuwa mazembe zaidi sinodi hii inajileta yenyewe katika mstari pamoja na fikra zao na shina la protestant ya kisasa kufikiri kiujumla. Hili lilifanya kilele nyeti cha hatari kati au miongoni mwa vikundi vya walutheri ambao pamoja na Missouri alihusika kwa kina kwa kulifunza neno kweli la mungu kinyume na wote wanaolishambulia, mpya na la zamani. Ambayo yanajulikana kama badiliko la mtaqusu wa kanisa, ni ulimwengu kote na huathiri ufahamu wa kila mmoja. Roho ya kuridhiana na utofauti katika mafundisho imepita kupitia kanisa, sambamba na kutenganisha vikundi kutoka moja hadi kingine. Udhaifu na kuridhiana vimeadhini kwa ujumla kila kikundi kimekuwa ni kipindi cha mateso ya huzuni na pia kutambua miili ya kanisa.


KANISA LETU

Nje ya mgogoro wa kanisa la ukiri wa kilutheri lilipozaliwa. Kama tulivyoona uthamani wetu wa injili kuhatarishwa kwa roho ya kuridhiana na kutojali. Tumekuwa unalazimisha kuweka mbele kweli hizi tena katika mpangilio mpya. Tumeamriwa kumheshimu kristo, na kutangaza habari njema zake a msamaha bila kuongeza na bila kubadilisha.



38. Bila hofu kutupa juu ya ukweli na usafi wa injili ya mungu. Tunajua kwamba sisi niwanadamu na hodari kwa kosa, lakini tumajitiisha kwa kanuni kwamba kosa haliwezi kustahimili katika madhabahu yeu na shule zetu, na ni lazima lishughuli kiwe kikamilifu pale linapojitokeza. Kwa nguvu za mungu tumewekwa ili kuutunza ukweli wa yesu kristo. Injili ya mungu haijumuishi mafundisho yote ya mwanadamu; lakini nijili ya mungu inajumuisha wanadamu wote katika fadhili hutolewa.



39. Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha (mathayo 11:28) katika vifungu hivi vimetumiwa kama rejea ya karatasi hizi ambazo vinaonyesha kuwa ukweli wa kilutheri. Kila fundisho la kilutheri lazima liwe la kibiblia, na kila fundisho la biblia lazima liwe la kilutheri.



1. Matthayo 9:9

2. Matthayo 23:8

3. Yohana 6:68

4. Matendo 5:14

5. Marko 16:16

6. Yohana 3:16

7. Mathayo 1:21

8. Luka 19:10

9. Yohana 3:14-14

10. Matthayo 1:21

11. Matthayo 24-25

12. Yohana 14:6

13. Yohana 14:16-17, 26

14. Warumi 10:17

15. Warumi 6:4

16. Waebrania 4:12

17. Yohana 20:21-23

18. Matthayo 12:49-50

21. Petro 2:21.

22. iiTimotheo 4:8, Philippi 3:11-14.

23. Matendo 20:28-29.

24. Mpinga Kristo -2Thes 2:3-11.

25. Mpatanishi mmoja -1 Tim 2:5

26. Hakuna toharani-Heb 9:27.

27. Warumi 8:1

28. Warumi 3:10-18.

29. Waefeso 2:8-9

30. Yohana 8:31-32.

31. Warumi 16:17-18

32. 1Kor 1:17-31

33. 1 Kor 11:24-25

34. Matthayo 18:6

35. 11Tim 3:16.

36. 1 Kor 1:10, Filipi 1:27

37. Gal 5:9