Somo la tano.BIBLIA INASEMAJE KUHUSU KWENDA KANISANI.
(What Does the Bible Say about Going to Church?)
Biblia inaonyesha kwamba shauku ya kusikiliza neno la Mungu ni alama ya Mkristo.
Yoh 8:47 Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu
Yoh 8:31. Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini ninyi mkikaa katika neno langu mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Mdo 17:11 Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza Maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo.
Zab 119:72 sheria ya kinywa chako ni njema kwangu, kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.
Thes 2:13. kwa sababu hiyo sisi nasi twamshukuru Mungu bila kukoma, kwa kuwa mlipopata lile neno la ujumbe wa Mungu na ndivyo ilivyo kweli kweli, litendalo kazi pia ndani yenu ninyi mnaoamini.
Zab 1:2 bali sheria ya bwana ndiyo impendezayo na sheria yake kuitafakari mchana na usiki.
Biblia huonyesha haya hii hutafuta ukamilishaji wake katika ibada ya wazi katika kanisa.
Zab 122:1 Nalifurahi walipoambia na twende nyumbani mwa Bwana.
Lk 24:53 (wanafunzi) nao walikuwa daima ndani ya hekalu wakimsifu na kumbariki Mungu.
Mdo 2:46 (Wakristo) walidumu kushika fundisho lla Mitume na ushirika katika kumega mkate nyumba kwa nyuma na kushiriki chakula chao wenyewe kwa furaha na kwa moyo mweupe.
Ebr 10:25 (wala tusiache) kukusanyika pamoja kama ilivyo desturi yaw engine bali tuonyane na kuzidi kufanya hivyo kwa kadri mwonayo siku ile kuwa inakaribia.
Zab 26:8 Bwana nimependa makao ya nyumba yako na mahali pa maskani ya utukufu wako.
Kol 3:16 neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote mkifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo na tenzi za rohoni huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Luk 4:30-31 Lakini yeye alipita katikati yao akaenda zake Akashuka mpaka Kapernaumu mji wa Galilaya, akawa akiwafundisha siku ya Sabato.
Hosea 4:6 kwa kuwa umeyakataa maarifa mimi nami nitakukataa
Luk 14:17-24 Njoni, kwa kuwa vitu vyote vimekwisha kuwekwa tayari wakaanza wote kutia udhuru kwa nia moja. Wa kwanza aliwaambia nimeamua shamba sharti niende nikalitazame tafadhali unisamehe. Mwingine akasema nimenunua ngombe jozi tano ninakwenda kuwajaribu tafadhali unisamehe wengine ……………………….
Luk 4:16 akaenda Nazareti hakupokelewa na siku ya Sabato akaingia katika Sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake akasimama ili aseme.
Marko 14:49 (Yesu alisema) nalikuwa nanyi kila siku katika hekali nikifundisha na hamkunikamata.
Zab 27:4 Neno moja nimelitaka kwa Bwana nalo ndilo nitakalolitafuta nikae nyumbani mwa Bwana siku zote za maisha yangu kutafakari hekaluni mwake.
Zab 95:2 Tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa Zaburi
Zab 84:2 Nafasi yangu imezionea shauku nyua za Bwana moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu aliye hai
Biblia huonyesha baraka ambazo hutokana na kulisikiliza na kujifunza neno la mungu.
Zab 84:4 heri wakaao nyumbani mwako
Ipet 1:23 (ongoa/fufua) kwa kuwa mmezaliwa mara ya pili, si kwa mbegu iharibikayo bali kwa ile isiyoharibika kwa neno la mungu lenye wima lidumulo hata milele.
Yakobo 1:21 (wokovu) kupokea kwa upol neno ambalo liwezalo kutuokoa roho zenu
Mdo 11:14 (Petro) atakaye kuambia maneno haya ambayo yatakuokoa wewe na nyumba yako yote.
Yohana 17:17 (utakaso) uwatakase kwa ile kweli neno lako ndiyo kweli
Wagalatia 3:2 (Roho mtakatifu) Nataka kujifunzia neno hili moja kwenu mlipokea Roho kwa matendo ya sheria au kwa kusikia kunakotokana na imani?
Rum 10:17 (imani) basi imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Yohana 10:27-28 (Uzima wa milele) Kodoo wangu waisikia sauti yangu nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele wala hawatapotea kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Yohana 5:24 Amini amini nawaambia yeye aliyenipeleka yuma uzima wa milele wala haingii hukumu bali amepitia kutoka mautini kuingia uzimani.
Yohana 5:39 Mwayachunguza maandiko kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake, na hayo ndipo yanayonishuhudia.
Yohana 8:31-32 (ukweli na uhuru) Basi Yesu akiwaambia …… “ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli. Na mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Mathayo 6:33 (vitu vya kimwili) Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa.
II Tim 3:15 – 17 na ya kuwa tangu utoto umeyajua maandiko matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Yesu Kristo. Kila andiko lenye punzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kwa kuwaonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki ili mtu wa Mungu awe kamili amekamilikwa apate kutenda kila tendo jema.Biblia huonya wote ambao hawasikilizi mahubiri ya neno la Mungu.
Yohana 8:47 yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu .
Zaburi 95:7 -11 leo kama utaisikia sauti yake msifanye migumu mioyo yenu ….. kwa miaka 40 nalihuzunika na kizazi kile nikasema hao ni watu waliopotoka mioyo. Hawakuzijua njia zangu. Nikaapa kwa hasira yangu wasiingie rahani mwangu.
Amosi 8:11 Angalia siku zinakuja asema Bwana Mungu ambazo nitaleta njaa katika nchi si njaa ya kukosa chakula wala kiu cha kukosa maji bali ya kukosa kuyasikia maneno ya Bwana.
Lk 10:6 Awasikizaye ninyi anisikiliza mimi naye anikataye ninyi anikataa mimi naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma.
Mithali 13:13 kila alidharauye neno hujiletea uharibifu bali yeye aioyogopaye amri atapewa thawabu.
Hili kwa wengi linaonekana ni kiburi na kuhukumu, kama kanisa hili lilikuwa na aina moja ya umoja katika ukweli hatuhisi kwamba sisi ni watu pekee katika dunia ambayo watakuwa wameokolewa. Hatutangazi kuwa wenye hekima na watakatifu sana kuliko wengine zaidi tunatangaza kila anayejiangalia nafsi yake mwenyewe kama Paulo kwa watenda dhambi wa kwanza. Hatujionyeshi kwa kwastahili ushirika (meza ya Bwana)licha ya hilo hatustahili kuwa ndani na sisi wenyewe. Inatupasa kuamini kiuthabiti ingawa Biblia hushikilia jinsi ya kuwa, neno la Mungu lote katika sehemu zake. Tunaamini Biblia ni sahihi kwa kile inayokifundisha na mafundisho yote yake ni muhimu. Hitimisho tunaamini kwamba lazima kuwe na umoja wa uhakika kwa kuangalia neno la Mungu kabla kama umoja katika imani iliyoelezwa katika ushirika (meza ya bwana). Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafunsisho na kwa kuwaonya watu makosa yao na kwa kuwa ongoza na kwa kuwaadibisha katika haki.
KUKAWIA SIO KUKATAA
Si kwa kualika wageni wetu (wa kiwangu kingine cha ukiri) kujumuika nasi tunachukua jambo la mashaka sana. Huhatarisha kuacha alama ambayo hujiendeleza yenyewe kwa kufanya kama binadamu siyo juu ya viwango vyetu. Siyo injili taichukuayo tuna shauku kushiriki sacrament ya madhabahu na wale ambao tunashiriki imani pamoja huomba kwamba punde kuelewa sababu ya tendo letu kwamba watataka kuchunguza kwa usahihi zaidi kwa kuamini kwetu. Hivyo tunatoa maelezo ya kutia moyo kwa kujiandaa kujumuika nasi kwa kuungama nasi katika ufahamu na umoja wa imani hiyo katika meza ya Bwana.