Somo la nane.FUNDISHO LA ROHO MTAKATIFU
UTANGULIZI
Kadri tufanyapo kazi zetu kwa ajili yake katika kuendeleza ufalme wake na kupanua. Tumeona katika miaka iliyopita kuongezeka hesabu au idadi yakipentikoste/Karesmatiki katika kazi yake. Hatupingi kuwa wana muhimu au alama ya Mungu. Baadhi yao ingawa wanatulenga na kusema hatuna Roho Mtakatifu. Baadhi yao wanatangaza kuwa tume pungukiwa na injili kamili na kwa sababu ya hili wameweza hata kuwashutumu baadhi ingawa wanatulenga na kusema hatuna Roho Mtakatifu. kuwashutumu baadhi ya washirika wao kwa kuwafanya daraja la pili (wakristo hao), katika nakala moja ipatikanayo kwa ajili yako kufikiri historian a maandiko yahusuyo Wapentekoste na karesmatiki. Tunasoma “kuwa ukubwa katika nchi yetu na ukuaji mwingine wa dini ambao hutua mwenekano wa kuinuliwa Kiroho. Inawalazimu kuamini kumiliki karama ambazo Roho mtakatifu alizitoa kwa ajili ya kanisa katika siku (nyakati) za mitume (ukurasa wa 1, ubatizo Waroho mtakatifu).
REJEA TANO KATIKA YOHANA 14 HADI 16.
Njia nzuri kuelewa kazi za Roho Mtakatifu ni kwa wakati wote tujipime maneno ya Bwana wetu kulielezea maneno haya ambayo tumeyazungumza, ni sehemu ya kusisimua na yenye nguvu sana katika Agano jipya inayohusika na kazi za Roho Mtakatifu, endelezo hilo kiusahihi panga na ahadi Yesu alizopewa. Yesu aliongea maneno haya ya kuondoka, “inuka” (Yoh 14:31) .
YOHANA 14:15-17.
Kama unanipenda utayatuma maagizo yangu nami nitamwomba baba naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele. Ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hawezi kumpokea kwa kuwa haumwoni wala haumtambui bali ninyi mnamtambua maana anakaa kwenu naye atakaa ndani yenu. Bwana wetu anaanza kwa kurejea katika neno lake (amri). Ni kupitia neno kwamba Roho mtakatifu anatenda. Upanga waroho ni neno la Mungu. Roho atafananishwa (au kutenda) kama mshauri linamaanisha mtu akuitaye katika upande wake kuongea naye na kufundisha. Roho wa kweli hufunua ukweli kupitia neno …………………………. Anaishi nawe na atakuwa ndani yako maneno haya hutukumbusha kuwa Roho yake hufanya kazi na Roho zetu. Na yupo pamoja nasi milele hili lingewezekana kuwa gumu kuruhusu kamili na mtu injili kwa sehemu. Imani yaweza kuwa dhaifu lakini sio kitu cha pili. Imani iumbayo kuokoa na kuthibitisha kwa Roho ni imani iokoayo cha kwanza katika rejea hizi tano kiini muhimu ni roho kufanya kazi katika muumini pamoja na neno. Hakuna hata oni la karama za miujiza wala kumbukumbu za mwendelezo wao.
YOHANA 14:26.
Lakini huyo msaidizi, huyo roho mtakatifu ambaye baba atampeleka kwa jina langu atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Ni ambayo Yesu aliyosema kwamba yatakuwa yamefundishwa kwa waumini. Ukweli wa Bwana wetu ni alishirikisha, Roho Mtakatifu hakuahidiwa kwetu kutuita pembezoni kuweka au kushiriki karama za miujiza. Mungu anaweza kufanya chochote lakini hilo sio katika ahadi hii. Kwa wote waaminio hilo kuna ahadi ya karama za miujiza katika sura ya 14 zimetajwa katika mstari wa 12, “Amini kazi nizifanyazo mimi yeye naye atazifanya, naam na amewahi kufanya miujiza kuliko yesu alivyofanya, hili halionyeshi katika isharu, maajabu na miujiza lakini katika kuhubiri neno. Kiasi ambacho yesu alienda kijiagrafia kilikuwa kikubwa sana. Muda wa kuhubiri ambao ulikuwa miaka mitatu kwa Bwana wetu alifanya zaidi yaw engine. Hizi ndiyo hizo “kazi kubwa”
YOHANA 15:26
Lakini ajapo huyo msaidizi (mshauri)nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba yeye atanishuhudia. Jinsi gani Roho Mtakatifu atabeba ushuhuda? Kwa ishara, maajabu na miujiza? Hapana.atachukua ushuhuda kwa kuwa msikilizaji/ mwamini ushuhuda wa waliomwona Yesu. Linakuwa sambamba kurejea kwa neno. Neno mfariji linatumiwa tena ambalo linatukumbusha kazi ya Roho Mtakatifu kamba ni kutia moyo, kuinua, kufariji. Hili linatokana na kuungana na neno la Mungu. Faraja yetu sio kukisia miujiza. Kama hatuwezi kufanya ishara au maajabu, liko wapi kutiwa moyo kwetu? Ni katika neno wabarikiwe wote ambao wanasikia neno na kulituma.
YOHANA 16:7-11
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli, yawafaa ninyi mimi niondoke kwa maana mimi nisipoondoka huyo msaidizi hatakuja kwenu bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja huyo atauhakikishia ulimwengu kwa habari ya dhambi kwa sababu hawaniamini mimi. Kwa habari ya haki kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamuamini tena. Kwa habari ya hukumu kwa sababu yule mke wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa. Hakuna yeyote aliyeshawishiwa kwa miujiza. Bali ni kwa neno. Imani huja kwa lile tulilolisikia na kusikia huja kwa mahubiri ya Kristo (Rumi 10:17) katika mkakati waroho Mtakatifu katika moyo wa jiwe wa asiyeamini, ni yeye mwenyewe kwa nguvu zote za neno ambazo zinayeyusha. Inataarifiwa ukweli kwamba katika eneo la umisheni katika ulimwengu wa Kipentekoste na Kikaresmatiki wanatangaza nguvu zao katika kumiliki ishara maajabu na miujiza. Hivyo tumetaja baadhi ya maswali. Hili linafanya nini katika urahisi wa ujumbe juu ya kuhubiri Kristo? Kushindwa kupima nguvu za shetani kwa kufanya maajabu ya uongo.
YOHANA 16:13-14
Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli atawaongoza awatie kwenye kweli yote, kwa maana hataneno kwa shauri lake nmwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atafunua mambo yajayo atawapasha habari yake. Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatuaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari. Roho huongoza katika kweli kwa kutangaza. Sio kwa kutenda miujiza na maajabu, bali kwa kulinena neno. Sisi ni vipande vya mdomo wake kwa kuongea neno. Hata kama hatuliongei, inaweza kuwa tayari na kuwa kama matokeo kwa kuwa ni neno lake. Kutumika kwa neno “kusema” hapana linatukumbusha tena kwamba kiini cha angalizona wokovu ni kwa neno.
Kadri tunavyojifunza rejea hizi tano tunaona ahadi kuu haipo katika neno kwamba na kuhimili kuitunza imani. Wakati mwingine huonekana kama pentekoste na Karesmatiki wanahitaji mujiza, kumaanisha kuwa neno halitoshi nzuri, je neno linatosha? Neno sio tu linatosha bali zaidi ya kutosha. Dhahiri, kusema kwamba kama hakuna ishara, hakuna imani hiyo ni uong sasa vipi kuhusu kusema kwamba kusikokuwa na ishara ni hatuaq ya pili ya imani? Hivyo ishara, maajabu na miujiza ya Kikristo inahakikishwa katika moyo kwa neno miujiza, ishara na maajabu vinalenga neno linavyosema wakati lilipotolewa. Katika marko 16:20 roho anaelezea kwamba Bwana “alidhibitisha ujumbe kwa ishara ………………” katika Waebr 2:4 roho anasema kwamba Mungu “alitoa ushuhuda” kwa neno kwa ishara na maajabu na miujiza mbalimbali na kwa karama za Roho Mtakatifu zilizogawanywa kulingana na mapenzi yake. Katika vifungu hivi, ni jambo la Mungu kulithibitisha na kutoa ushuhuda kwa neno wakati lilipotolewa. Sisi sasa tuna Biblia kamilifu na kwa ishara hazihitajiki zaidi kwa kusudi hili.
NENO LA ROHO KIINI KATIKA ROHO
Hapa chini tunavifungu pamoja na maneno maalumu katika ahadi na katika mazingira yanayoeleza neno kwamba ni kiini cha angalizo.
Yoh 14:15 – amri, mstari wa 17-haki
“ 14:24 – maneno yangu
“ 14:26 – fundisha yote ….. kuleta kuelewa kila ambacho nilichokisema.
“ 15:10 – amri zanfu, mst 12 amri yangu ……. Upendo, mst 20 neno.
“ 15:26 – kweli ……kutoa ushahidi
“ 16:8 – hahakikisha dhambi, haki, hokum
“ 16:13 – haki ….. kusema ……. Kutangaza
PENTEKOSTE NA KARESIMATIKI WANAKOSEA KATIKA MSIMAMO AU MSISITIZO WAO
Ingawa sisi sio Wapentekoste au Karesmatiki …. Tunaamini Mungu hutoa zawadi (neno karesma kwa lugha ya kiyunari ni zawadi) kwa kanisa. Hata bado karana kuu zinawakilishwa. Tuna shauku nazo (I kor 12:31,12:28) Paulo anataja karama iliyo kuu kwa idadi, ya kwanza ni mitume, ya pili manabii, ya tatu walimu, karama hizi zinahusisha neno na kubainisha kwake. Kwa mazingira ya kuchanganya kwa Wakorintho Paulo analitaja kanisa lipate kujengwa ni kupitia mahubiri (unabii huwaanisha kwanza ya yote ni kutangaza ujumbe wa Mungu). Katika mstari wa 4 Paul anasema “Hasa uweze kuhutubu” katika mstari wa 5 anasema “zaidi sana mpate kuhutubu” bado anasisitiza zaidi umuhimu wa neno. Kwa mtazamo wa ujumla Paulo asingeweza kusema “tengeneza kupenda kusudi lako, kwa mtazamo wa ujumla Paulo asingeweza kusema “tengeneza kupenda kusudi lako kwa ukaribu ukitumai karama za roho, hasa uweze kutubu. Sisitizo la namna hii halikubaliani na sura hii. I kor 14:9” usipotoa kwa ulimi neno lililo dhahiri, neno lile linenwalo litajulikanaje? (kwa kutujenga, kututia moy) 14:3 bali yeye ahutubuye asema na watu maneno ya kuwajenga na kuwafariji na kuwatia moyo. Hili pia huja kupitia neno.
Ingawa sisi si wapentekoste au karesmatiki tunaamini katika muujiza wa pentekoste (mdo 2). Ndimi za moto, uvumi wa kiuweza na lugha nyingine zilikuwa ni matendo ya uweza ya Mungu. Kumbuka kwamba la kufurahisha zaidi ni kwamba watu waliweza kusikia kila mmoja kwa lugha (mdo 2:6) kuichukua injili ulimwenguni kote inategemea watu kusikia kila mtu kwa lugha yake kazi za maajabu za Mungu kwa ajili ya wakovu wao. Ukuu wa kazi ya Mungu haitegemei katika ishara. Kama jambo la kweli, neno hutuonya juu ya kutafuta ishara hata wakati Yesu alipotembea juu ya nchi wakati
wengi walimuona. Soma luka 11:29-32. Ambapo alilisisitiza hapa-miujiza za ishara au neno la uweza? Hekima ya sulemani na mahubiri ya Yona yanaonyesha. Hili ni neno. Tunamwona Yesu kupitia neno lake.
Katika mathayo 24:3 tuna wanafunzi (mtume) waliouliza ishara “…… itakuwa ishara yako ya kurudi na kwamba umekaribia mwisho? Yesu alijibu katika mstari wa 4 hadi 14 ambapo alionyesha miungu kutokea wala ishara. Injili ya ufalme itakuwa imehubiriwa ulimwenguni kote, kama ushuhuda” Bwana wetu hutuonya juu ya kutosumbuliwa ishara kubwa na maajabu katika mstari wa 24. katika mathayo 7:21-23 anasema wengi wataniambia tulifanya kazi nyingi kwa jina lako. Jibu lake kwao ni kujulikana mstari wa 23.
Inafurahisha kuwa mhubiri mkuu wasiku kabla ya Yesu alikuwa ni Yohana mbatizaji ambaye hakufanya ishara na wengi walimjia, na walisema “ Yohana hakutenda ishara, bali kila alichokisema juu ya mtu huyu ni kweli? Na wengi walimwamini” (Yohana 10:41-42) Leo tunaona wapentekoste/ wakarestimatiki wanahubiri kwa ishara kama ni njia ya kusisitiza mafundisho yao. Neno halihitaji kufanyiwa msisitizo wa kuigiza. Ishara na maajabu na miujiza katika siku ya mitume zililenga kwenye neno na kuambatana na kutoa ushuhuda wa neno la Mungu kwa muda ule kwamba hili ni neno lake. Sasa tuna neno katika ukamilifu wake na lihubiri kama Yohana mbatizaji alivyofanya, watu huamini kupita neno. Neno (Biblia) imejumuisha yote ambayo tunalihitaji kwa ajili ya imani yetu na maisha. Inatusaidia kujilinda na mafundisho ya mawazo ya wanadamu na kutuonyesha njia ya mbinguni kupitia mateso ya Kristo na kifo katika sehemu yetu. Hebu tushikilie neno hili na kupinga mafundisho ya uongo. Nguvu ipo katika neno, haitupaswi kuegemea miujiza na ishara bali tuweke imani Yetu kwa Bwana Tunachokihitaji na tukijuacho ni neno.